Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
KIVU KUSINI : KIFO CHA NAIBU-GAVANA WA AFC-M23, WATU WANE WAUWAWA GOMA
32Likes
2,742Views
May 122025
Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Makamu liwaliwa wa jimbo la Kivu Kusini, aliyeteuliwa na AFC-M23, Bwana GASHIGE GASHINGIRA JUVENAL alifariki hiii Siku ya kwanza mei , tarehe kumi na mbili. Taaarifa yakifo yake imetangazwa na officeya liwali wa Jimbo ya Kivu ya kisini. "Jimbo la Kivu Kusini linatangaza kifo cha ghafla cha makamu wake liwali ambayo alikuwa nahusika na mambo ya uchumi, Gashingé Gashingira Juvenal," Wakuu viongozi wanatowamkono wapole kwa familia na kwa raia pia nakwa wanachama wa AFC-M23. Tarafani Nyiragongo kandokando ya Goma, Wanamemba ne wa familia moja waliuwa wakati wa uvamizi wa watu wenye kumiliki silaha wasiojulikana huko Kansana, pa Rusayo, mtaaa wa Nyiragongo pembezoni ya  mji wa Goma. KivuMorningPost : Votre Source Numéro Un d'Information en RDC Congo Basé dans la ville touristique de Goma, KivuMorningPost est dédié à fournir les informations les plus fiables et à jour sur la RDC Congo. Nous sommes la source numéro un dans l'est de la RDC Congo. Notre mission est d'informer pour transformer. 📧 Contactez-nous à kivumorningpost@gmail.com Restez connectés et informés : Abonnez-vous sur YouTube : Chaîne KivuMorningPost Suivez-nous sur Facebook : KivuMorningPost Suivez-nous sur Twitter : @KivuMorningPost Suivez-nous sur Instagram : kivumorningpostofficial Visitez notre Site Web : kivumorningpost.cd Rejoignez notre communauté, aimez, abonnez-vous et partagez notre contenu pour les dernières mises à jour et informations. #kivumorningpost #rdcongo #goma #nordkivu

KIVU MORNING POST

256K subscribers